Watoto wa kishua

Watoto wa kishua

abunerimgaya

Member
Joined
Nov 13, 2012
Posts
78
Reaction score
15
WATOTO WA KISHUA
SECONDARY SCHOOL
S.L.P 7677, MASAKI.
MTIHANI WA KUMALIZA
MUHULA.
MAELEKEZO.
i. Jibu maswali yote.
ii. Kila swali linabeba maksi kumi
iii. Zingatia mpangilio wa kazi.
iv. Unaruhusiwa kutumia BLOGS
na MAGAZETI YA UDAKU
iv. SWALI LA TISA NI LAZIMA
KUJIBU.
MUDA; Masaa matatu.
SECTION A.
1. Kwa kutumia mifano hai,
elezea chanzo cha Kim
Kadarshian kugombana na Kanye
west.
2. Taja tofauti kuu nne kati ya
MLIMANI CITY na QUALITY
CENTER.
3. Kwa kutumia maeneo ya
samakisamaki, Coco beach,
Steers, naKunduchi beach resort
elezea maanaya neno BATA.
4. Mapenzi hujengwa kati ya
msichana na mvulana. Je Vipini
masikioni, Kuvaa mlegezo,
mwanaume kusuka na kujipaka
carolight vinachangia vipi
kufanya
penzi lichanue? Fafanua!! Tumia
mifano hai ya maboyfriend wa
watoto wa kishua
5. Kwa kutumia tamthilia za
MARA CLARA na zile nyingine za
PROMISE na TIMELESS elezea
nafasi ya mwanamke katika jamii.
SECTION B
6. Elezea sababu kuu tano za
WEMA na Diamond kugombana!!
Na kisha elezea mapinduzi
yaliyofanywa na Jokate Mwegelo.
Na je kwa nini hawakudumu
7. Inasemekana kuwa Chipsi
mayai ni mojawapo ya chakula
kinachowachanganya wasichana
wengi na mwisho kujikuta
wametoapenzi. Kwa kutumia
maeneo ya Masaki na Mikocheni
elezea Baga na Pizza
zinavyosababisha tatizo hili.
8. Kwa kuwatumia wasanii wa
Bongofleva kama Diamond na wa
mtoni kama Chriss Brown elezea
maana ya neno SWAGA.
9. Watoto wengi wa kishua
hukimbilia kutafuta mademu wa
uswazi wakidai kuwa wasichana
wa geti kali hawajui lolote
kitandani. Elezea kiufasaha
ukitumia mifano hai kwanini
wasichana wa kishua ni bomu
kitandani.
10. Kwa kutumia mifano hai ya
PLAYSTATION elezea ni ipi ngumu
sana kucheza kati ya PS 2 na PS
3…..
NAWATAKIA MTIHANI MWEMA!!!
 
Thread ya zamani lakini imenifurahisha sana.
 
Back
Top Bottom