Kobossir Member Jan 15, 2013 50 8 May 22, 2014 #1 Jamaa: Hivi ni kweli nchini kwenu kila kitu mkitaka kufanya mnaunda tume? Kigogo: Sina Uhakika, lakini nitaunda tume kufatilia ukweli juu ya hilo!
Jamaa: Hivi ni kweli nchini kwenu kila kitu mkitaka kufanya mnaunda tume? Kigogo: Sina Uhakika, lakini nitaunda tume kufatilia ukweli juu ya hilo!