Wapenda vya bure!!!!!!!!!

Wapenda vya bure!!!!!!!!!

Dejane

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
51,118
Reaction score
72,598
Helooooww members mpoooo!!
Jamaa alikuwa amekaa ndani ya club. Changudoa akamsogelea na kumwuliza,
"Unataka mambo yetu?"
Jamaa akamwambia, "Ndio. Lakini, unaweza kunipa kama mke wangu?"
Changudoa akamjibu, "Hapa usipime. Mimi noma .... Ntakupa mpaka mkeo usimkumbuke! Kwani huyo mkeo anakupaje?"
Jamaa akamjibu, "Mke wangu ananipa bure." Changudoa, "Nyoo! Fisadi wa biashara za wenzio ...
 
Nilipoona neno 'changudoa' nilitahayari na kuanza kusoma joke kwa
tahadhari kubwa maana nawajua hao wadada hawana tafsida.
Lakini thanks Dinazarde joke imeishia vizuri na nimeifurahia.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom