Couple ya h.o.d na heaven on earth

Couple ya h.o.d na heaven on earth

heaven on desert

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2013
Posts
1,025
Reaction score
393
Japo huwa hatupatani,lakini namwelewaga sana huyu Heaven on Earth
nahisi itakuwa poa sana tujenga mahusiano,na endapo anakubaliana nami yawe ya ki-jf tuu
labda kama tukinogewa,nahofia tu waandishi wa udaku wa jf kina warumi wataifatilia sanaa..
..nisiongee sana Heaven on Earth kuja tukubaliane hapa mbele za wadau,nakaribisha wenye mapingamizi
 
Last edited by a moderator:
Mwambie diamond amtungie wimbo, atakubali tu
 
Japo huwa hatupatani,lakini namwelewaga sana huyu Heaven on Earth
nahisi itakuwa poa sana tujenga mahusiano,na endapo anakubaliana nami yawe ya ki-jf tuu
labda kama tukinogewa,nahofia tu waandishi wa udaku wa jf kina warumi wataifatilia sanaa..
..nisiongee sana Heaven on Earth kuja tukubaliane hapa mbele za wadau,nakaribisha wenye mapingamizi

Labda ungemtumia Lara1 ili akurahisishie kazi
 
Last edited by a moderator:
Huyu anaonyesha mbebz wa ukweli wengi wanamsarandia
 
Huyu bi dada ndo alifanya nimshtukie Judgement but yalikwishapita.
 
Last edited by a moderator:
Hii movie mpya very interest, sijui itakuwa na part 2?!.
 
Huyu bi dada ndo alifanya nimshtukie Judgement but yalikwishapita.

Kumbe jina langu Mamndenyi bado unalikumbuka?
Btw leo nimemissplace way kukatiza pande hizi.
Awali nilidhani "dawa sahihi" ningeliipata hapa! Kumbe looh! Nilikua nachota maji kunako ndoo iliyotoboka!
.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom