Ni Kiasi gani kikubwa cha pesa ulichowahi kuokota tangu uzaliwe?

maroon7

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
8,946
2,000
Sasa hivi hali imekua ngumu ila zamani kuokota hela ilikua kawaida sana..mimi sintosahau siku niliokota laki moja na elfu tisini mwaka 2003 kwenye corridor ya jengo la utawala hospitali ya mkoa sumbawanga...sikulala siku hiyo na nilikua kila saa nazifungua kuziangalia...kesho yake nikaenda kununua simu ya Siemens kwa sh elfu sabini halafu laki moja nikaenda kufungua account NMB, zilizobaki nikajipongeza...
Je wewe ulishawahi kuokota kiasi gani kikubwa cha pesa unachokumbuka?
 
mwekundu

JF-Expert Member
Mar 4, 2013
21,785
2,000
Aisee wengine tuna gundu walahi,mimi maximum ni 10000 ila niko makini sipotezi,Max nimewahi poteza 40000
 
Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
148,386
2,000
Sasa hivi hali imekua ngumu ila zamani kuokota hela ilikua kawaida sana..mimi sintosahau siku niliokota laki moja na elfu tisini mwaka 2003 kwenye corridor ya jengo la utawala hospitali ya mkoa sumbawanga...sikulala siku hiyo na nilikua kila saa nazifungua kuziangalia...kesho yake nikaenda kununua simu ya Siemens kwa sh elfu sabini halafu laki moja nikaenda kufungua account NMB, zilizobaki nikajipongeza...
Je wewe ulishawahi kuokota kiasi gani kikubwa cha pesa unachokumbuka?

Una agenda ya siri wewe sisemi ng'o!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom