habarini
jamani mwenzenu nashangaa sana ninapoona thread za watu weingine hasa hawa mamods kwenye pale
tanuru zimekuwa stickly sasa nami nataka thredi zangu ziwe stickly nifanyaje marafiki...
HOUSE BOY: BAKARI
Bakari is a house boy who every day drinks the wine of his Boss and puts water in the bottle to replace what he drank. But the Boss having suspicions as for the quality of the...
Jamani mimi ni kuku mgeni hapa Arusha, yaani ndio nimeingia leo asubuhi, nina kazi nafanya mpaka Jumamosi.
Possibly nitaondoka Jumapili, sasa kwa wenyeji ninaombeni kushikwa mkono wapi...
Kila nikimuona kwenye video zake huyu binti hali inabadilika napata hisia za kimapenzi tu na hisia za kuoa zaja ghafla, AU DAMU ZETU ZINAENDANA? najipa moyo ipo siku nita mpata tu tena nita muonga...
Akpos and Gideon entered a
chocolate store.
As they were busy looking, Gideon steals 3 chocolate bars.
After leaving
the store Gideon says to Akpos: "Man I'm the best thief ever, I stole 3...
Paper And Money Were Talking To Each Other.
Paper To Money: You Are Just A Piece Of Paper.
Money Smiled: Of Course I Am Just A Piece Of Paper But-I Havnt Seen A Dustbin In My Life.
Thats...
Leo nichukue nafasi ndugu wananchi kutoa darasa ambalo litawasaidia wengi tu. Lakini haswa darasa hili ni kwa wanaume wanywaji wa pombe na hasa wale wanaopenda pombe lakini pesa hawana.
Kuna...
Napata shida kutofautisha kati ya ndoto na maisha ya kawaida, ninapokuwa ndotoni najiona kama nipo katika ulimwengu niliopo mpaka mara nyengine nahisi hata haya maisha tulionayo kila siku uwenda...
Sijui kama na wewe imekutokea?
Niliyojifunza kupitia Trial and Error
Mara baada ya kujiunga na JF nilishangaashangaa kwa siku mbili tatu nikiangalia namna ya kupost thread. Kila nikiingia kwenye...
ule usemi wa alioko juu umngoje chini hivi sasa umekua tofauti hivi sasa alieko juu mpandie hukohuko na dawa ya deni sio kulipa ila ni kumkimbia anaekudai tuishie hapo.
Jana wakati namwandikia msg mtu ninayemuheshimu sana nikateleza, badala ya kusema MAMBO, nikasema MAMBOO, hebu tutataje maneno mengine ambayo ukiteleza kidogo tu basi unajikuta nje ya ulingo.
Hellow wanajamii forum wenzangu, mwenzenu leo nimezaliwa upyaa namaanisha siku yangu ya kuzaliwa. Namshukuru sana mungu kwa kunifikisha umri huu.
Tupongezane basi.
daah,acheni tu jamani mtaa ni mgum xana.nimemalz f0rm 6 na napiga tu dili za kitaa na baada ya xaa 8 nakuw off.sio cri nko mpwek kama vp jiunge nami jap kwa kuchat tyuu 2pnguz mxongo wa mawazo.
Ukuta wa ikulu uliharibika, wakandarasi waliitwa na kuambiwa atakayejenga kwa ubora mkubwa ila kwa bei nafuu ndiye atakayepewa kazi.
Mjerumani: nitajenga kwa mil 90 yaani 40 ya vifaa, 40 ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.