Huyu ndio mbongo sasa!

Jamsuldash

Member
Jul 14, 2011
69
24
Ukuta wa ikulu uliharibika, wakandarasi waliitwa na kuambiwa atakayejenga kwa ubora mkubwa ila kwa bei nafuu ndiye atakayepewa kazi.

Mjerumani: nitajenga kwa mil 90 yaani 40 ya vifaa, 40 ya wafanyakazi na 10 ndio faida yangu.

Mchina: nitajenga kwa mil 70 yaani 30 ya vifaa, 30 ya wafanyakazi na 10 ni faida yangu.

Mbongo akamvuta msimamizi wa ikulu chemba na mambo yakawa hivi:

Mbongo: nitajenga kwa mil 270.

Msimamizi: we una akili timamu kweli? pesa yote hiyo ya kazi gani? We hujasikia viwango vya wenzako na ndiyo wenye ubora mkubwa katika kazi kuliko wewe!

Mbongo: mil 100 yako 100 yangu na 70 tunampa yule mchina! Deal or no deal?

Msimamizi: deal.

Hapana chezea mbongo.
 
trust me thats how they do it,nina ushahidi wa hili
 
Tofauti ya mwenye akili na asie nazo ndio hiyo.
Mbongo yupo juu kwa kushwa.
 
Back
Top Bottom