baba anjela
JF-Expert Member
- Mar 17, 2013
- 431
- 310
Napata shida kutofautisha kati ya ndoto na maisha ya kawaida, ninapokuwa ndotoni najiona kama nipo katika ulimwengu niliopo mpaka mara nyengine nahisi hata haya maisha tulionayo kila siku uwenda tupo ndotoni.