Maneno ambayo ukiteleza unaleta maafa

JEKI

JF-Expert Member
Aug 16, 2013
4,845
2,941
Jana wakati namwandikia msg mtu ninayemuheshimu sana nikateleza, badala ya kusema MAMBO, nikasema MAMBOO, hebu tutataje maneno mengine ambayo ukiteleza kidogo tu basi unajikuta nje ya ulingo.
 
Back
Top Bottom