Kama upo lonely jiunge nami

Kama upo lonely jiunge nami

suley hazard

Member
Joined
May 19, 2014
Posts
62
Reaction score
117
daah,acheni tu jamani mtaa ni mgum xana.nimemalz f0rm 6 na napiga tu dili za kitaa na baada ya xaa 8 nakuw off.sio cri nko mpwek kama vp jiunge nami jap kwa kuchat tyuu 2pnguz mxongo wa mawazo.
 
Kama JKT wamekutosa kapige tuition ya kuingia chuo
 
Komba anatafuta watu wa kwenda nae msituni.....wakaimbe thithiem thithiem...aaaa.....mtafute fasta..atamaliza msongo.....
 
daah,acheni tu jamani mtaa ni mgum xana.nimemalz f0rm 6 na napiga tu dili za kitaa na baada ya xaa 8 nakuw off.sio cri nko mpwek kama vp jiunge nami jap kwa kuchat tyuu 2pnguz mxongo wa mawazo.

kwa uandishi wako napata mashaka na wewe
 
Mh!? Me napita, kama ndo form 6 hii, basi kazi ipo!? Napita tuuu
 
daah,acheni tu jamani mtaa ni mgum xana.nimemalz f0rm 6 na napiga tu dili za kitaa na baada ya xaa 8 nakuw off.sio cri nko mpwek kama vp jiunge nami jap kwa kuchat tyuu 2pnguz mxongo wa mawazo.

kwa uandishi huu hiyo form6 yako usipotaga, mod naomba nipigwe life ban.
 
Ndo wa form 6 huo mwandiko!?haaaahaaaaaaaaaaaaaahilo janga!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom