Arusha Arusha Arusha

Raimundo

JF-Expert Member
May 23, 2009
13,416
12,607
Jamani mimi ni kuku mgeni hapa Arusha, yaani ndio nimeingia leo asubuhi, nina kazi nafanya mpaka Jumamosi.

Possibly nitaondoka Jumapili, sasa kwa wenyeji ninaombeni kushikwa mkono wapi nikang'arishe macho hasa hasa Ijumaa na Jumamosi huku naangalia kombe la Dunia huku napata moja moto kupoza baridi.

Bila kusahau usalama maana naambiwa eti huku kutishiana pisto ni kitu cha kawaida kama Dar watu wanavyotishiana vyeo, zile za unajua mi ni nani?
 
Karibu sana Kanigini
We sema tuu interest zako ni zipi utapelekwa mara moja
Ukiwa mzee wa nyama choma utapelekwa sehem husika na ukiwa mzee wa chimbo kuna maeneo yake
Wadau wa Arusha siku hizi wamepotea sana
 
Last edited by a moderator:
Swala la kutishiana bastola hakuna. Pia ukitaka kuangalia kombe la dunia kwa usalama nenda kwenye hotel zenye hadhi ya utalii. Ukienda baa za mtaani kuna wababe wakiingia kingi za pombe fujo lazima
 
Mkuu Kanigini karibu Arusha jiji la maraha na hali ya hewa nzuri hasa kipindi hiki cha kuanzia mwezi June.

Mosi inategemea wewe unapendelea nini bahati mbaya haujafungua sana.Kama wewe ni mtu wa totoz usikose kufika Picnic utakutana na wadadaz wakutosha wakati unatwanga bia za moto kipindi hiki bia za baridi hazishuki kutokana na hali ya hewa.

Pili kuna Club maarufu ipo maeneo ya Moshono World Garden ni Club matata sana unaweza kujikuta unachomoka saa kumi na moja asubuhi usipokuwa makini.Hapa kuna kila kitu kuanzia vinywaji,supu nyama choma na disco la kufa mtu inategemea na umri wako.

Tatu kama unatumia Mbuzi Katoliki tembelea Sarafina maeneo ya Kaloleni hapa utakuna na wataalamu waliobobea katika utengenezaji wa huyu mdudu wa taifa.

Nawasilisha.

Jamani mimi ni kuku mgeni hapa Arusha, yaani ndio nimeingia leo asubuhi, nina kazi nafanya mpaka Jumamosi.

Possibly nitaondoka Jumapili, sasa kwa wenyeji ninaombeni kushikwa mkono wapi nikang'arishe macho hasa hasa Ijumaa na Jumamosi huku naangalia kombe la Dunia huku napata moja moto kupoza baridi.

Bila kusahau usalama maana naambiwa eti huku kutishiana pisto ni kitu cha kawaida kama Dar watu wanavyotishiana vyeo, zile za unajua mi ni nani?
 
Last edited by a moderator:
Jamani mimi ni kuku mgeni hapa Arusha, yaani ndio nimeingia leo asubuhi, nina kazi nafanya mpaka Jumamosi.

Possibly nitaondoka Jumapili, sasa kwa wenyeji ninaombeni kushikwa mkono wapi nikang'arishe macho hasa hasa Ijumaa na Jumamosi huku naangalia kombe la Dunia huku napata moja moto kupoza baridi.

Bila kusahau usalama maana naambiwa eti huku kutishiana pisto ni kitu cha kawaida kama Dar watu wanavyotishiana vyeo, zile za unajua mi ni nani?

Mkuu Kanigini mfuko wako unasomekaje, kumbuka Arusha ni mji wa kitalii,, Funguka wadau wafahamu wapi utafiti.
 
Last edited by a moderator:
Swala la kutishiana bastola hakuna. Pia ukitaka kuangalia kombe la dunia kwa usalama nenda kwenye hotel zenye hadhi ya utalii. Ukienda baa za mtaani kuna wababe wakiingia kingi za pombe fujo lazima

Hotel za kitalii bili yake ntaiweza mkuu? Bia moja sawa na mbili kitaa. Mi nataka chimbo za kawaida tu (standard za kati kwa kati).
 
Mkuu Kanigini karibu Arusha jiji la maraha na hali ya hewa nzuri hasa kipindi hiki cha kuanzia mwezi June.

Mosi inategemea wewe unapendelea nini bahati mbaya haujafungua sana.Kama wewe ni mtu wa totoz usikose kufika Picnic utakutana na wadadaz wakutosha wakati unatwanga bia za moto kipindi hiki bia za baridi hazishuki kutokana na hali ya hewa.

Pili kuna Club maarufu ipo maeneo ya Moshono World Garden ni Club matata sana unaweza kujikuta unachomoka saa kumi na moja asubuhi usipokuwa makini.Hapa kuna kila kitu kuanzia vinywaji,supu nyama choma na disco la kufa mtu inategemea na umri wako.

Tatu kama unatumia Mbuzi Katoliki tembelea Sarafina maeneo ya Kaloleni hapa utakuna na wataalamu waliobobea katika utengenezaji wa huyu mdudu wa taifa.

Nawasilisha.

Kwenye watoto hapo nainjoi sana kutazama, maana ukienda zaidi wakati mwingine ni hatari hasa ukiwa ugenini.

Club nitapatafuta, nikapunguze presha za kazi. Hii nadhani itakuwa JMosi.
 
Hotel za kitalii bili yake ntaiweza mkuu? Bia moja sawa na mbili kitaa. Mi nataka chimbo za kawaida tu (standard za kati kwa kati).

Ni kweli mkuu bei ni kubwa lakini si sana. Nimekuelekeza hivyo kwa sababu maelezo yako yanaonesha hupendi fujo za sehemu za starehe
 
Hii sehemu inatajwa sana hii, itabidi niifahamu hii. Maana huchelewi kuambiwa yaani wewe umeenda Arusha hujafika Shivaz!

Mkuu huko kuna totos za rangi zote aina zote makabila yote maumbo yote acha tu
 
Ni kweli mkuu bei ni kubwa lakini si sana. Nimekuelekeza hivyo kwa sababu maelezo yako yanaonesha hupendi fujo za sehemu za starehe

Asante mkuu, ngoja nikimbizane niwe free Ijumaa.
 
Ziko sehemu kibao,hiyo jmosi mchana kabla hujaenda kokote nenda kale mbuzi choma kwa mrombo laini kama keki then uendelee na nengine,kula raha kawaida sana Arusha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom