Hata kunipa happy birthday?

mapengo junior

JF-Expert Member
Jun 28, 2011
1,136
275
Hellow wanajamii forum wenzangu, mwenzenu leo nimezaliwa upyaa namaanisha siku yangu ya kuzaliwa. Namshukuru sana mungu kwa kunifikisha umri huu.

Tupongezane basi.
 
HAPPY BIRTHDAY though kadi yangu imechelewa kufika nilituma kwa KLM we pokea tu.
 
. Kwani hilo lakuuliza? Mpwa umepotea sana. Kulikoni?

kumbe ushakuwa wa Paloma mpwa? aisee mi niko bhana, shule inanibana bwana, tumuombe Mola nimalize salama mwaka aisee.. ogopa sana kupigwa supplementary 3 kwenye module tano! utalia kaka! lol
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom