Hivi huyu Vannesa Mdee ana nini na mimi?

Hivi huyu Vannesa Mdee ana nini na mimi?

Chinga One

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
11,494
Reaction score
12,465
Kila nikimuona kwenye video zake huyu binti hali inabadilika napata hisia za kimapenzi tu na hisia za kuoa zaja ghafla, AU DAMU ZETU ZINAENDANA? najipa moyo ipo siku nita mpata tu tena nita muonga kamshahara kangu kote ka TGTs D2...
 
Wewe vitu vya wakubwa hvyo sawa jaribu kutafuta wa kitaa kwako
 
Wacha wee! Nipo nae hapa! Kakuchekaje?
 
Tyta naomba picha ya haka kandele vannesa.
 
Last edited by a moderator:
Kila nikimuona kwenye video zake huyu binti hali inabadilika napata hisia za kimapenzi tu na hisia za kuoa zaja ghafla, AU DAMU ZETU ZINAENDANA? najipa moyo ipo siku nita mpata tu tena nita muonga kamshahara kangu kote ka TGTs D2...

ha ha ha ha ha ha ha naona mwalim unaota ndoto za mchana!
 
endelea kuwa na imani kaka
mbona diamond mastaa alokuwa anawatamani sa hv anawachezea had ashawaona hawana maana.
 
Keep dreaming looser.

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
Mbona mi sijawahi kutamani mtu nikimuona kwa Tv au na matatizo!!!
 
Sio siri hata mimi ninampenda sana huyo bint....yani nikimuona kwa matangazo da ninachanganyikiwa kwa kwel
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom