Nisaidieni bandugu

ladyfurahia

JF-Expert Member
May 10, 2011
14,717
9,510
habarini

jamani mwenzenu nashangaa sana ninapoona thread za watu weingine hasa hawa mamods kwenye pale
tanuru zimekuwa stickly sasa nami nataka thredi zangu ziwe stickly nifanyaje marafiki
kama stredi za invissible ziko stickly bandugu nifanyaje nami zangu ziwe stickly?

uelekezi pls!!!! don't jokes niko serious
 
Back
Top Bottom