Habari. Mi ni mkazi wa Dar es salaam. Nina meno mawili ya juu mabovu (moja incisor na lingine linalofuata kwenda ndani baada ya hilo incisor), yametoboka. Nimewahi kuwa na meno mengine mawili...
Heshima mbele wakuu.
Katika hali ambayo sikuitarajia na kwa kutumia ID nyingine hapa JF nimejikuta namtongoza mtoto wa kaka yangu bila kufahamu.
Ishu ilikuwa hivi, niliweka mada ya mapenzi...
Ndugu wana JF,
Nina furaha ya ajabu sana isiyoelezeka, yaani najihisi ninanenepa ndani ya dakika 30 kwa siku moja kwa jinsi nilivyo na furaha. Nina rafiki yangu ambaye nilikuwa ninamliwaza na...
Habari wakuu!!
Kuna maswali nimejiuliza kimsingi nimeona ni jambo linawezekana kabisa,ila njia pekee ya kuepuka swala hilo ni kuwa wastaharabu na watu wenye busara tunapochangia jambo hapa JF...
Nitajuta ukiondokaaa mi nitajutaaa.
Habari Wakuu nimeanza na maneno hayo ya kiitikio cha mojawapo ya wimbo wa bendi ya musiki ya yamoto. Ushawahi sikiliza au ona nyimbo zake, mimi nawakubali nawe...
Inashangaza sana kuona wadada wengi wa Leo wakitazama mahusiano ktk mlango wa pesa.....
Wengi wanaomba mpaka kero...
Badilikeni mnaboa sana, Haki sawa mnayolilia mtaipataje sasa?
Gnyt!!!
Mhh Jioni nimepita sehemu wapendwa
kuna jamaa yetu mmoja kachukua ka lodge pale sinza ..akawa ameletewa kitu leo frm hme nikamchukulia airport
hamad nafika nakuta wazee watatu wameinama mwisho...
kwa masikitiko makubwa naomba kutoa taarifa za kufariki bibi mzaa baba wa mwana chit chat mwenzetu na mke wangu mpenzi romantic eyes...
hivi sasa yuko njiani kuelekea Lushoto Tanga kwa ajili ya...
Sina hamu mimi jamani! House girl kaniibia, kavunja mlango wa bedroom kaniibia mpaka bra na anda wea. Kwao hajafika tangu jumamosi hata wazazi wake wanamtafuta. Nina machungu hapa siwezi eleza.
Habari za mwisho wa wiki mabibi na mabwana...
Jamani mie sauti yangu mbaya, hata nikiwa kule kunako 0 distance haibadiliki. Dah, kuna wadada wengine wana sauti hadi nawatamania aisee....
Hivi...
Kutokana na wimbi kubwa la wavulana wanaolia lia na kulizwa na wanawake na kuja kujaza server humu ndani ,nikiwa kama mmoja wa senate ya #TeamB (yaani team Mapendo no stress-user disclaimer)...
Manchester Uniteds latest new guy on the block, Angel Di Maria, yesterday called United boss, Louis Van Gaal, to tell him that he had picked up a ten month back injury while bending down to...
Ndugu wana JF,
Naendelea vizuri kabisa na mpenzi wangu ambapo hapo awali alikuwa rafiki yangu, naomba niondoe ukungu uliopo kwa kutoa tamko hadharani kwa wadau wangu. Mpenzi wangu anaendelea...
Kuna Saloon unaenda yaani unabinywabinywa hadi nyege zinapanda wakati wa kuoshwa au scrub' n so on! Wanawake wengine wana mikono yenye bariiidi, milaiiiini'' hata kama maji ni ya uvuguvugu, huku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.