JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Hapa Dar kwa sasa ukiingie kwenye vilinge vya mama ntilie ugali wa dona una wateja,hongera dkt Ndodi kuwaelimisha wananchi faida za ugali wa dona...dona hoyee
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wanabodi, Nimekuwa nikipotea njia mida fulani na kujikuta sehemu moja inaitwa kitabu cha uso aka Facebook. Kwenye hicho kitabu, utakuta mtu katupia picha inaonyesha uso wake basi watu wana'like'...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hayo ni maoni yangu kwa kuona neno kugegeda linadhalilisha mwanamke
0 Reactions
40 Replies
4K Views
Mama mmoja wa Sinza, Dar aitwaye Mama Zahara anamtuhumu msanii Aunt Lulu kwa kutuma meseji za usagaji kwa binti yake wa kidato cha pili aitwaye Zahara!
0 Reactions
2 Replies
4K Views
After a luncheon hosted by the Queen in London in his honour, the former Ugandan leader Idi Amin had this to say for his vote of thanks. “Mr Queen, Sir, Horrible Ministers, invented guests...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nyumba ndogo nzuri jamani, zinapunguza stress,magonjwa ya moyo, na kupunguza mfadhaiko . jamani kama una mawaazo jaribu kwenda kwa nyumba ndogo .maisha utayaona mepesi, wengi waliofanikiwa nyumba...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Ndugu wana JF, Habari za mwaka mpya, bila kupoteza muda kuna mtu ametoa lawama eti oooh mtu wake eti anasumbuliwa wakati mtoto mrembo nimemsomesha akasomeka, bila hiyana nikapewa KIBOLIBO nami...
0 Reactions
128 Replies
13K Views
jus dropn hi note,ijumaa karim
0 Reactions
0 Replies
670 Views
Sorry My PrettyCure For Staying Shut For So Long,please Don't Blame On Me Cuz Aint Made Any Kind Of Mistake To U,my New # No Is 0765494495 Please Once Gonna See Dis No, Just Keep In Touch.
0 Reactions
0 Replies
694 Views
Hivi kwa mfano ukiwa unamfukuzia binti, then akakuambia hayo maneno hapo juu, huwa wana maana gani hasa?
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Utamsikia mtu anasema sijaolewa au sijaoa ila naishi mtu. Wengine wana enda mbali zaidi ........naishi na mtu na tumejaliwa watoto kadhaa. Kuoa nini? Na kuishi na mtu ni nini? Hivi nyie ambao...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kila mtu huwa na vision zake. Mimi natamani sana kuwa na mwanamke atakae nielewa. Wanawake wengi ndivyo sivyo. I need a woman who upstairs yuko poa.
0 Reactions
74 Replies
5K Views
Kwa Hisani ya Aluta Mnakumbuka miaka hiyo? Mpingo naye alikuwepo.... Ukumbi wa Lang'ata Kinondoni Disco... Dj Chriss Phabby Hilo Movie la Million Dollar Man nadhani ni yule wa Mieleka... Movie...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kama unataka kupata habari za wasukuma jinsi walivyo na tabia zao..! pamoja na jinsi wanavyoishi, niulize hapa hapa na mimi nitakujibu..!
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Hapa nilipo nipo kwenye chumba kimoja nimepoa kweli nilitaka kupumzika kwa kucheki TV Bahati mbaya umeme umekata na utarudishwa kesho basi nikasema nijinunulie bando langu ni jitupe jamvini...
0 Reactions
1 Replies
801 Views
Habari zenu wanajamvi? Jamani nataka kujua eti red bull inasaidia kuongeza uwezo Wa kufanya mapenzi kwa Muda mrefu? Kama sio naombeni ushauri
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Watu wamavaa tu pete bila kujua maana zake kutoka kidore kidogo mpaka kidole kikubwa cha mkononi je naweza kufahamishwa maana ya kidore kimoja baada ya kingine .
0 Reactions
0 Replies
3K Views
  • Closed
Aisee Rwanda kuna watoto waliokamilika watoto waliiva watoto wenye kila sifa kuanzia tabia asikwambie mtu. Nikitaka kuoa najirusha zangu rwanda kule bwana tanga haioni ndani Rwanda dahhhhh...
1 Reactions
84 Replies
16K Views
Msitumiane text msg, whatsapp msg, Facebook msg wala e mail... just pop up to PM hukamatwi wala hushikwi ugoni
0 Reactions
106 Replies
13K Views
Back
Top Bottom