Inashangaza sana kuona wadada wengi wa Leo wakitazama mahusiano ktk mlango wa pesa.....
Wengi wanaomba mpaka kero...
Badilikeni mnaboa sana, Haki sawa mnayolilia mtaipataje sasa?
Gnyt!!!
Bro punguza stress kama huna hela usitongoze, piga nyeto tu.

KInachonisikitisha zaidi ni idadi ya vijana wanaotaka majimama ili kulelewa. Jamani hivi mwisho wa siku hali itakuwaje? Yaana job description yako wamtwisha mwanamke, na ya mwanamke wataka awe nayo yeye, atapumzika saa ngapi? Acheni hizo vijana, tujue kuwa hawa hawakuambiwa wale kwa jasho waliambiwa wazae kwa uchungu tu! Mpaka Beijing itukumbushe??
Waiter leta ingine nkalale, vijana wa kiume wanalia lia tu hapa, shut up you lazy kidds!!!!!

Hahahaaaaa..... Nikitoa hela hafikishwi kileleni coz huduma nakua nimenunua