BRN
JF-Expert Member
- Nov 18, 2013
- 5,476
- 7,029
Nitajuta ukiondokaaa mi nitajutaaa.
Habari Wakuu nimeanza na maneno hayo ya kiitikio cha mojawapo ya wimbo wa bendi ya musiki ya yamoto. Ushawahi sikiliza au ona nyimbo zake, mimi nawakubali nawe pia kama unawakubali weka hapa sehemu katika nyimbo zao ambazo zinakufurahisha na kukuburudisha ukisikia.
Asante.