mwekundu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2013
- 22,475
- 21,046
Kutokana na wimbi kubwa la wavulana wanaolia lia na kulizwa na wanawake na kuja kujaza server humu ndani ,nikiwa kama mmoja wa senate ya #TeamB (yaani team Mapendo no stress-user disclaimer) ,tumeamua kutoa elimu ya kumuelewa mwanamke katika mazingira tofauti(understanding Woman) iwe labda wakati unamkaribia kum approach,kipindi anakaribia kukubaliwa,au labda anakutamani,au katika situation mko wote ila anakuendesha sana na hata ikiwezekana wakati mko kwenye ndoa. Au wakati anataka utoe Mpunga ili u win etc
Unachotakiwa ni kutuuliza tu then tutakupatia majibu live streamingly yenye 5 W(why,When,what ,where,who etc) na solutions za nini kinakukabili
Elimu hii itatolewa na magwiji waliobobea(ma specialists) kama Asprin Mentor Kaizer KakaKiiza Nicas Mtei Mr Rocky Kipaji Halisi pia wakiambatana na senate grade II kama miss chagga Tized Ntuzu Kibo10 sungura1980 kiwatengu Madame B a.rahabu kabanga utafiti Kasinde Bulldog Excel etc hadi wewe hapo mzoefu niliyekusahau
Tafadhari ninawaombeni tuwasaidie ndugu zetu hawa wa division 5 kabla hawajaibika sana