Hi MMU nimewamiss namshukuru Mungu ndege wangu yupo poa, eeh Yesu nibebe nami nitabebeka

zinc

zinc

JF-Expert Member
1,283
2,000
Ndugu wana JF,

Naendelea vizuri kabisa na mpenzi wangu ambapo hapo awali alikuwa rafiki yangu, naomba niondoe ukungu uliopo kwa kutoa tamko hadharani kwa wadau wangu. Mpenzi wangu anaendelea vizuri kabisa, nilishindwa kukutana nae kama wiki tatu hivi kwa sababu ambazo zilikuwa nje ya uwezo wake, si mnajua tena nilichokifanya haikuwa kazi rahisi, tuachane na hayo.

Mwaka ujao nategemea kumvalisha pete mpenzi wangu, sitaki kumuacha kabisa kwa sababu tumefungua ukurasa mpya, sipendi tabia mbaya na yeye hapendi tabia mbaya, wote tunamtumaini Yesu japokuwa tulifanya dhambi katika mazingira ambayo hatukuwa na jinsi, kwa wale ambao mlikwazika na threads zangu lakini ki moyoni mnazikubali naombeni mnisamehe, lakini natoa shukrani zangu za dhati kwenu nyie wadau wote wa MMU JF.
 
Mkoroshokigoli

Mkoroshokigoli

JF-Expert Member
14,612

dah,,,,,toka kumshika kiuno kwa hali ya kawaida hadi uchumba,,,,,,msizini basi hadi ndoa,,,,,, zinc
 
Last edited by a moderator:

Mkoroshokigoli upunguze tabia ya kuchungulia dirishani watu wakiwa wanafanya yao, utakuja puliziwa dawa ya mbu au mende usoni
 
Last edited by a moderator:
Sista

Sista

JF-Expert Member
3,211
1,250
mapenzi nitoe kipele haya kazi kwenu
 
Mshinga

Mshinga

JF-Expert Member
3,537
1,225
Ugeni huu,sijaelewa kitu,ama na mimi nilikuwa rikizo!
 
Valentina

Valentina

JF-Expert Member
20,879
2,000
Ha haaa..hongera kijana. Mungu awasaidie mfike mbali. Vip lakin bado una...au basi tu
 
zinc

zinc

JF-Expert Member
1,283
2,000
unamaanisha tusitishe maombi?

hongera sana ee
mwallu hoja ya maombi inatokea wapi sasa?! Unaona sasa matatizo yako! Akhsante hata hivyo
 
Last edited by a moderator:

Forum statistics

Threads
1,425,226

Messages
35,085,100

Members
538,249
Top Bottom