JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
'Kama unataka kujiona ukiwa uchi au mtupu, kwa nini usijifungie chumbani kwako mbele ya vioo vinne ukajiangalia, kuliko kusambaza picha zako kwenye mitandao ya kijamii?' ~ Innocent Mongy, TCRA.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Pale unapopokea barua ya kufukuzwa kazi na kesi mahamakani ya ubadhirifu huku ukiwa na deni bank? Unapogundua kaka/mdogo wako kumbe ni shoga (gay). Father Amefariki huku familia mnapigania...
0 Reactions
30 Replies
2K Views
Sina thread ya kuweka humu jamani ila nimewamiss sana natamani mngefungua Moyo wangu muone. Muwe na Baraka tele katika kujenga Tanzania yetu
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Leo gahfala bin-vuu, kuna mdada ameniuliza kwa nini haolewi? Sura anayo nzuri, elimu anayo nzuri, kazi anayo nzuri, ana mengi mengine mazuri. Nimemjibu hata mimi sijui. Kwa wale ambao kuolewa...
1 Reactions
74 Replies
12K Views
Mtoto wa watu umemtanguliza bila hata elfu moja ya maji unategemea nini!!!? Hivi tukikuibia utalalamika!!!??? Hii kitu imeniboa nimekaa kiwanja flan hapa mdada mzuri kaletwa hapa na boda ila jamaa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Jamani siyo kwamba nina utani na watu humu ila nimekumbuka nikacheka. Hao madaktari 6 watanzania walioombwa na WHO kwenda Sierra Leone kutibu Ebola na kulipwa 2m kwa siku wanaitwa majina haya : 1...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Wanajamvi wapendwa tarehe na mwez siku ya Leo mwakundu aliletwa duniani. Mungu akuongezee hekima na busara katika maisha yako Akupe maisha marefu yenye baraka Karibuni wote team bazaz ni team...
7 Reactions
83 Replies
5K Views
Unakuta mme kakaa kishikaji hata nywele hachani. ILA Mke mrembo anakesha saluni. Anajiremba kwa ajili ya nani?
1 Reactions
72 Replies
5K Views
Habarini wana JF Ingawaje hii ni post yangu ya kwanza ila naomba kuwasilisha. Kuna hii tabia ya mwanaume kumtumia mwanaume mwenzie ujumbe wenye maneno "usiku mwema" au goodnight" Sasa...
0 Reactions
38 Replies
10K Views
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Kuna tabia imezuka hivi karibuni ya wanawake kwa kutaka kile wanachokiita usawa wa kijinsia eti nao siku hizi wanajisaidia kichakani kama wanavyofanya kaka zao (wanaume). maswali ni mengi ila...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Wasalaam wanajamvi takwimu zinaonyesha watanzania wengi hawajawahi kufanya mapenzi bali wamewahi kufanya ngono au wanafanya ngono
0 Reactions
12 Replies
2K Views
POLISI:::Hodi Hodi Hodi, JAMAA:::Kimya, POLISI:::HODI×3, JAMAA:::Wewe ni nani? POLISI:::Sisi Polisi, JAMAA:::Mnataka nini? POLISI:::Kuongea na wewe, JAMAA:::Kuongea na mimi! POLISI:::Ndiyo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mama mjamzito aliketi karibu na mwanawe mdaku wa miaka minne bila chupi. mwanawe alichungulia na kuona manywele kama ya kichwani na akatabasamu kisha akamwambia mamake, "mum, najua utajifungua...
1 Reactions
13 Replies
9K Views
Heshima Kwenu Jf,nasafiri Kuelekea Mtwara Msaada Tafadhali Kule Kuna Sehemu Nzuri Ya Kufikia? Na Burudani Je?
0 Reactions
1 Replies
958 Views
My birthday wishes for you Vin Diesel.... May God uplift you more, richly bless you with everything you desire the most, increase you in wisdom, continue to watch over you always, may God...
4 Reactions
109 Replies
10K Views
Ole wako uongee kiswaz, sijui Kimatumbi na kisukuma... ban itakuhusu( mmhh hapa mi sihusiki) ukifika mlangoni useme kabisaa we mnani.... Haya Karibuni...
1 Reactions
97 Replies
6K Views
Unaamka asubuhi unakuta umefanana na avatar yako uliyoiweka jf. Kuna watu watajikimbia wenyewe kwa kujiogopa Yako jee?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
SIJUI KAMA SIKU HIZI YAPO..!? ILIKUWEPO SANA ENZI ZETU 1. Kung'olewa jino kwa uzi 2. Ubwabwa kupikwa J'pili tu 3. Kidonda kuweka mchanga 4. Ukumbi wa sherehe kupambwa kwa toilet paper 5. Kunyolewa...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Hivi unakumbuka ni mara ngapi umeshawahi kulitamka hilo neno kwenye maisha yako kwenye suala la mapenzi? Je unamkumbuka wa kwanza uliyemuambia hivyo? Yupo wapi sasa? Damn ....... Nikimkumbuka...
2 Reactions
645 Replies
35K Views
Back
Top Bottom