Watanzania wengi hawajawahi kufanya mapenzi

Watanzania wengi hawajawahi kufanya mapenzi

Nyamuleha jr

Senior Member
Joined
Feb 20, 2013
Posts
185
Reaction score
65
Wasalaam wanajamvi

takwimu zinaonyesha watanzania wengi hawajawahi kufanya mapenzi bali wamewahi kufanya ngono au wanafanya ngono
 
Nini tofauti ya mapenzi na ngono? Nachojua ngono na mapenzi ni kitendo kile kile tu
 
Jukwaa lenu hili mnawezana wenyewe.

Nikikaa hapa masaa matatu nitapigwa BAN ya week nzima.
 
Takwimu za wapi hizo????

ungetoa muelewesho kati ya hizo act mbili

takwimu zangu mwenyewe

mapenzi ni ile hali ya kucare unampenda mtu siyo kwaajili ya kumgegeda tu
na ngono ni ile ishu ya kumpenda mtu ili tu umgegede thats why kuna michepuko, nyumba ndogo, n.k
 
Wasalaam wanajamvi

takwimu zinaonyesha watanzania wengi hawajawahi kufanya mapenzi bali wamewahi kufanya ngono au wanafanya ngono
MM balaaa haya mkuu ebu tuchambulie takwimu hiyo umeipataje na utafiti wako umeanzia mwaka gani? na hayo mapenzi mpaka yakawa mapenzi hufanywaje mpaka yakawa mapenzi na ngono hufanywa na watu gani na inafanywaje na inatofauti gani na mapenzi????
 
takwimu zipi hizo na kutoka chanzo gani. Hebu tuwekee figures hapa tuone hizo takwimu na uje na the clear differentiation kati ya mapenzi na ngono
 
sasa tatizo lako binafsi unaleta kwetu wote.....?
 
:angry::angry::angry::angry::angry::angry::angry::angry:
 
Back
Top Bottom