Mwafrica imefika wakati na sisi tutengeneze dini yetu wenyewe na tuwe na mungu wetu.. Sio kazi yetu kukombatia dini za watu tuuu-na ukizingatia na dini hzo na vitabu vyao vinatutenga- si biblia ya...
UKIWA MUONGO USIWE
MSAHAULIFU SIKIA HII
Muongo alikua anawahadithia
watu jinsi alivyokua
anamkimbiza swala porini
akaishia amemkamata swala
amemlaza chini, Mara sim yake
ikaita, kumaliza...
Habari zenu wakuu.
Ushauri wangu ni kwa hawa kaka zetu baba zetu waume zetu. Asikwambie mtu mwanaume ukiwa unajiamini yani raha sana Siyo unakuwa na mwanaume mfano mmetoka hata kuita muhudumu ni...
Je, wajua kwamba siku zote wanapolala mume na mke, mwanaume siku zote hulala upande wa ukutani?
Hebu kila mmoja atoe ushuhuda wake hapa na aeleze ni kwanini?
BABA;Mtoto wangu nataka
umuoe mwanamke
nitakayemchagua mimi sawa?
.
MTOTO;Hapana
.
BABA;Ni mtoto wa Bill Gates
.
MTOTO;Bhasi sawa!
.
BABA ANAENDA KWA BILL GATES
.
BABA;Nataka mtoto...
Nimechoka kumtafuta, kila nikimpata anaanza kunidai pesa na uchumi wangu ni mdogo sina uwezo wa kuwahudumia mabinti wenye wazazi wao.
Nimeamua kununua sanamu mbili zenye muonekano wa kike ili...
Juzi tumetembelewa na mjomba wetu kutoka huko Bara mkoani Tabora. Mama yetu ni mwarabu mwenye asili ya Tabora ila aliolewa huku Visiwani, na kule Tabora kuna ndugu zetu na mmojawapo ni huyu mjomba...
Hi wana MMU hii inawahusu ME tu ukiona sijajibu pm yako ujue sababu ni hizi:
1) umeandika pm fupi mnooo mwingine anaandika HI anategemea ukishajibu Hi ndo aaanze kujieleza time is money...
Maisha ukiyajengea majibu chanya utakuwa na furaha siku zote!.
Mfano ukimpigia simu mpenzi wako asipopokea, JIPE JIBU KUWA "AMESINZIA" HATA KAMA NI SAA 5 ASUBUHI. Akikuta missed calls zako lakini...
Naongea na nyie . . . . .
Mnaopenda kuhifadhi kwenye simu zenu za viganjani
Picha chafu za uchi, tena zingine zinaonyesha sehemu nyeti,
Videos za XXX zilizojaa movement chafu chafu tu.
Halafu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.