This is called FACEBOOK
♥
(inbox)
Boy: Hello Babe
Girl: (seen 3 minutes
ago)
Boy: Hey please answer
me:)
Girl: (seen 2 minutes
ago)
Boy: But why do you
treat me like
that?? Why...
Kwa wale walioipita depo iwe POILISI, JKT au JWTZ mtakubaliana na mimi mkiwa depo huwazi hata siku moja mapenzi wala kupenda. Kuna sababu nyingi zinazosababisha hizi
1. Kwanza huoni msichana...
Wanaume wengi huona aibu kumiliki govi lakini utafiti wangu unaonesha mungu alikuwa na kusudi lake kutuumba na govi zifuatazo ni faida zake
1. Kumuheshimu mungu bila kukosoa uumbaji wake...
Madaktari 6 watanzania walioombwa na WHO kwenda Sierra Leone kutibu Ebola na kulipwa 2,000,000/= kwa siku wanaitwa majina haya :
1. Dr. Esta Kokugasha Mukasa - kakataa kwenda
2. Dr. Makame...
mara nyingi tumekuwa tukishuhudia kimombo a.k.a kingereza kikiongelewa na watu wengi kulingana na matukio..
Lakini kwa dada zetu wa kitz hasa wale ambao wana umaarufu kidogo imekuwa shida (sijui...
Habari wakuu.
Ngoja nifute machozi kidogo.
Nakumbuka ilikuwa jumapili moja tulivu ndani ya viunga vya Coco beach nikiwa nimetulia kwenye moja ya mawe yaliyopo pale beach huku nikatafakari kwa...
Nakwambia piga ua hamna kitu ina nguvu kama kutongozana kilugha....kama una mpenzi wa kabila tofauti alafu mkaenda mahali ukaona anaongea kilugha na mtu jinsia tofauti na yake ,mkamate mkono...
Habari wanna Jukwaa pendwa MMU
Sijui kama ni kawaida au jambo la ajabu.
Kila mwanamke ninayemtongoza hajawahi kunikatalia, yaani natongoza Majibu yanatiki ndani ya Siku mbili tu.
Sihongi wala...
Vijana saba wa kiume wamekaa kijiweni wanapiga story mmoja akaanzisha mada ya kumzungumzia shetani basi wale wenzake wakadakia huyo shetani unaye mzungumzia mbaya sana kila siku anawatia watu...
Waungwana pamoja na tofauti zetu za kipato tajiri na maskini wote wanaenda haja,wote wanahuzinika na kufurahi,wote watakufa,hakuna jipya kwa hiyo tupendanage tu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.