Usiku mwema au good night kwa mwanaume mwenzio

Usiku mwema au good night kwa mwanaume mwenzio

villgaxy

Member
Joined
Jun 10, 2014
Posts
9
Reaction score
5
Habarini wana JF

Ingawaje hii ni post yangu ya kwanza ila naomba kuwasilisha.
Kuna hii tabia ya mwanaume kumtumia mwanaume mwenzie ujumbe wenye maneno "usiku mwema" au goodnight"

Sasa najiuliza kwanza mwanaume kweli unaanzaje kumtumia mwanaume mwenzako kitu cha namna iyo.
Mimi huwa nachukizwa na hii kitu je wenzangu huwa mnaichukuliaje?

 
Wanawake wenzetu wako huru kuitana mpenzi, darling, baby, my love. Au ht kutembea wakiwa wameshikana mikono hadharani wao kwa wao, linapokuja suala la wanaume Kuna ugumu kidogo. Ila sioni ubaya mtu kukwambia usiku mwema, unless km Kuna la ziada
 
Je ukiambiwa habari za asubuhi?
au umeshindaje?
je utajisikiaje?
 
hata mi niliwah kuexperience kitu kama hiki nikawa nashangaa kajamaa kanakomaa na tumesej twa usiku mwema nkaamua kukapotezea tu
 
Kwa hiyo its a crime same sex kutaka/kukuombea uwe na ucku usiokuwa na shida ( kama, majambazi kuvamia usiku, kuumwa kwa ghafla usiku, kufanyiwa mambo maouvu na wachawi na forces of darkness, ajali kama moto ama chochote kibaya kinachoweza kutokea wakati wewe uko defenseless usingizini?).
Eti mwingine anasema its gay

You guys are ungrateful ------ who cannot appreciate the protection of God, have perverted and twisted minds to the extent that you think every communication is about unholy romance and last of all you are shallow and you think you are just alive, healthy and wealthy because you deserve it!

Hebu kueni basi. Nyie mnafikiri usiku unapitapita tu hivihivi?

M so sorry for being so harsh on you....
 
Tatizo liko wapi mtu kukutakia usiku mwema
Usikumwema haijalishi ni mwanamke au mwanaume hayo ni mapenzi ya dhati kwa jii
Ww ulio tuma post hio acha mawazo potufu kwani baba yako huwezi kumtakia usiku mwema?
 
kwahyo wewe umeona ni tatizo kuambiwa USIKU MWEMA? ila huoni tatzo kuambiwa ASUBUH NJEMA, MCHANA MWEMA, JION NJEMA!
 
ff4d9ac2621b563e23df6f5305eeafc8556a8a55483ca39bb066c3a446358703.jpg
images
 
Halafu mm nina wasiwasi na mleta mada kwanini anawaza mawazo mengine badala ya hio salamu.

Maana ukiwazacho ndicho utendacho

pole kwa mawazo finyu kiasi kwamba hata kondoo anakuzidi
 
Back
Top Bottom