Swaga za mme low class,ila mke anapenda kujiremba

Swaga za mme low class,ila mke anapenda kujiremba

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,419
Reaction score
18,373
Unakuta mme kakaa kishikaji hata nywele hachani.



ILA


Mke mrembo anakesha saluni.

Anajiremba kwa ajili ya nani?
 
Kwa ajiri ya wanaopenda urembo, sasa kama mumewe hajipendi na yeye asijipende?????
 
Hatari.....mwanamke inabidi awajibike.Kuna baadhi ya wanaume usafi wao binafsi ni shida,mpaka asukumwe
 
Ha ha ha xperience ya hali ya juu

N wot happened...?!

mm mke wangu anapenda kuninunulia nguo mpk namkataza nyingine nikivaa mara 1 tu sivai tena.

Mara chache sana unakuta mwanaume ana pea 4 za viatu ila mwanamke anajaza uvungu na shoe rack...viatu havina idadi.
 
Back
Top Bottom