Happy birthday @mwekundu

Happy birthday @mwekundu

Siku hizi anakana ubazaz hutujui sir ni nni
Mzima wewe

Sijui kwanini wanakataa ubazaz wao na cha ajabu huu mwezi wamezaliwa mabazaz kibao......lol.Mie mzima kabisa mumie nimekumiss sana
 
mwekundu kwa mapenzi yake mola na uvumilivu wa mama yako hatimaye siku kama hii leo mwaka haujulikani uliletwa duniani! umepitia mengi mazuri na mabaya lakini hatimaye kwa uwezo wake manani umeweza kuiona hii siku muhimu FURAHI kwa kadiri uwezavyo lakini usikufuru HAPPY BIRTHDAY mwekundu
 
Last edited by a moderator:
Sijui kwanini wanakataa ubazaz wao na cha ajabu huu mwezi wamezaliwa mabazaz kibao......lol.Mie mzima kabisa mumie nimekumiss sana

Yaan huu mwezi mabazaz
Anajutoa magamba wakat original bdo baziz
Waendelee tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom