Dada Yangu Usipite Bila Kusoma Hapa !

Dada Yangu Usipite Bila Kusoma Hapa !

bampami

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2011
Posts
5,700
Reaction score
4,126
'Kama unataka kujiona ukiwa uchi au mtupu, kwa nini usijifungie chumbani kwako mbele ya vioo vinne ukajiangalia, kuliko kusambaza picha zako kwenye mitandao ya kijamii?'

~ Innocent Mongy, TCRA.
 
kwa kweli inasikitisha,ndo anakuwa mtoto wako wa kike,mdogo wako au dada yako kajitundika mitandaoni,daaahhh usiombe.
 
Chumbani ananiona nani? Naweka kwenye mitandao ili wanione.....biashara matangazo atiii....
 
Chumbani ananiona nani? Naweka kwenye mitandao ili wanione.....biashara matangazo atiii....

hahaaaa best matangazo yenyewe siku hizi yako mtandaoni daaa mtu ana like tu kuonesha amekubali mzigo
 
'Kama unataka kujiona
ukiwa uchi au mtupu, kwa nini usijifungie chumbani kwako mbele ya vioo
vinne ukajiangalia, kuliko kusambaza picha zako kwenye mitandao ya
kijamii?'

~ Innocent Mongy, TCRA.

mnnnnnnnnnn! mtandaoni? the'r a so cheap!
 
Mkuu, Weka picha ili tangazo litufikie nasisi tuliopo mashambani
 
Back
Top Bottom