Wise1
JF-Expert Member
- Dec 6, 2012
- 209
- 144
POLISI:::Hodi Hodi Hodi,
JAMAA:::Kimya,
POLISI:::HODI×3,
JAMAA:::Wewe ni nani?
POLISI:::Sisi Polisi,
JAMAA:::Mnataka nini?
POLISI:::Kuongea na wewe,
JAMAA:::Kuongea na mimi!
POLISI:::Ndiyo,
JAMAA:::Mko wangapi?
POLICE:::Tuko wa 3
JAMAA:::Kama mko wa 3,, Simuongee
wenyewe.,....
JAMAA:::Kimya,
POLISI:::HODI×3,
JAMAA:::Wewe ni nani?
POLISI:::Sisi Polisi,
JAMAA:::Mnataka nini?
POLISI:::Kuongea na wewe,
JAMAA:::Kuongea na mimi!
POLISI:::Ndiyo,
JAMAA:::Mko wangapi?
POLICE:::Tuko wa 3
JAMAA:::Kama mko wa 3,, Simuongee
wenyewe.,....