JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Id zetu humu ndani tungeandika kwa mfumo wa kibrazil brazil, hebu tuone baadhi ya Id namna zingekuwa. 1. Kongosho~ Kongonho 2. Lizzy~ Lizznho 3. Invisible~ Invisinho 4. Nitonye~ Nitonho 5...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Unafiki ni kitu kibaya sanaaaaa, bora mchawi maana tunamjua na tunaweza kumuepuka kuliko mnafiki ambaye tunaishi naye kumbe ni adui, huwrzi kujua lini wala namna gani atakudhuru... pigo...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Hii ni kwa wachaga wote popote mlipo ikiwa imebaki miezi mitatu wale mnaokuja na sukari kilo mbili na kukaa mwezi ma wiki mbili wale wa mchele kilo tatu na wakati wa kuondoka mmekuwa mkikusanya...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Nauliza tu wadau maana huku mtaani vijana wanavifuga kweli......kijana akipata tu kiajira baada ya miezi kadhaa utamuona anaanza kuvimba tumbo....kibaya zaidi wanaonekana kuvifurahia hivyo vitambi...
0 Reactions
47 Replies
5K Views
Dear Graca Machel You married Samora Machel & he died You married Nelson Mandela & now he is dead! In conclusion every man that you marry dies! So Please marry Joseph Warioba for us! Yours...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ungependa adui yako apungukiwe na kiungo gani katika mwili wake?
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Tulikuwa tumeshuka kwenye basi kwa ajili ya kupata msosi, nikaingia toilet, ghafla kutoka mabasi manne ya kampuni hiyo yakaingia, nikachukua chakula hotelini. Baada ya dakika 5 hivi toka tushuke...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Jamani shosti leo Savanna Dry twende wapi??
0 Reactions
1 Replies
840 Views
Nikiwa najipumzisha hapa kwa Mamndenyi, nimepewa album ya familia yetu kuu ya JF (with legend of who is who in the zoo). Kumradhi members wote watakao tajwa, hamna cha name calling wala nini...
17 Reactions
89 Replies
7K Views
Mi nafikiri yupo sawa!!.
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Nimekuwa msomaji mzuri na mtazamaji wa mijadala mbalimbali kule jukwaa la siasa, great thinkers, na hoja mchanganyiko na hata hapa MMU. Nimetafakari sana na mara baada ya kupata majibu...
0 Reactions
28 Replies
2K Views
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Sorry kwa usumbufu.
0 Reactions
6 Replies
970 Views
Padre mmoja mzee alistaafu na wanaparokia walimfanyia sherehe kubwa ya kumuaga. Katika sherehe hiyo, mbunge wa eneo hilo alipangwa kutoa hotuba ya shukurani ya kumuaga padri huyo kwa niaba ya...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wakuu? Sina shaka muko pooouw wote humu ndani.nimeferah sana kuona bado cc inadunda kama kawa mimi mr mkiva nilipoteapo humu kwa muda sasa tangu pale muda mfupi baada ya kupata ndoa halali...
0 Reactions
5 Replies
948 Views
nilikuwa nikiona watu wanalalamika, upwekd, upweke! sasa nimeona mwenyewe! loh, upweke noma.
1 Reactions
263 Replies
19K Views
binadamu yeyote awe mwanaume au mwanamke anapo ongea mdomo unachongeka huyo si mtu mzuri kwanza ni muongo mnafiki mchonganishi na hakosi kua mwizi jaribuni kuwafuatilia katika jamii viongozi na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamaa alikuwa anapiga story na baba yake, Mtoto:baba me nataka kuoa Baba:vizuri mwanangu,vipi umeshapata mchumba? Mtoto:ndio Baba:unataka kumuoa nani? Mtoto:nataka kumuoa bibi...
1 Reactions
6 Replies
8K Views
What do you call an Indian looking out of a window? Diri Shah What about an Indian who does not finish his food -Baki Shah An Indian standing on one leg - Balan Singh An Indian who is a...
0 Reactions
11 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…