I place the end of my brush in the middle of the nail, a few millimeters from the cuticle (look at the light blue line, that's roughly where I place the brush). I push/wiggle the brush right...
Leo ni kumbukumbu ya Miaka 22 tangu kuzaliwa kwangu,, Asante Mungu kwa kuniwezesha kufika hapa nilipo naomba unipe maisha marefu yenye kukupendeza na kukutumikia
Ingawa nimebadili id ila leo nimeona niombe radhi kwa mdada wa jf kwa kumkosea kwa kutembea na anti yake na marafiki zake watatu.
Ingawa utaki nipa nafasi ya kunisikiliza kwa kuwa naamini...
Nilipotea muda mrefu kiasi kwamba hata mitaa ya JF nimeshaisahau. Nadhani hata familia yangu iliishakata tamaa ya kuniona tena. Mume wangu Mwita Maranya, wanangu Zion Daughter na snowhite naomba...
Avoid to be Happy for Specific reason because Happiness will end when the reason ends
Try to be Happy without any reason & u'll be Happy forever. 'Red Scorpion!'
On this special day, I wish you all the very best, all the joy you can ever have and may you be blessed abundantly today, tomorrow and the days to come! May you have a fantastic birthday and many...
Nimemtongoza demu fulani na bila ajizi kakubali.Siku ya jana tukakubaliani tukutane baa moja iliyoko Sinza.
Cha ajabu demu kaja na marafiki zake wawili wakati mimi nimejiandaa kimawazomawazo na...
kijana mmoja aliota amekufa na yupo mbinguni.Akiwa huko aliambiwa na malaika kuwa alitolewa roho kwa bahati mbaya hivyo atarudishwa duniani kama mnyama.kijana huyo alichagua awe kuku.Mara...
Kuna kawaida kila mwaka first years kuwa na jina. Mimi mwaka 2005 niliitwa 'Tsunami'. Napendekeza waitwe 'Rasimu' au 'Bunge la Katiba' au UKAWA
Wadau mnasemaje?
Asikuambie mtu..
Mi demu kwangu ni mwenye sura nzuri na umbo lililokaa vyema..
We unaeangalia Tabia, una uhakika gani na Tabia yako?
Anaesema uzuri siyo Sura ni nani? Hata uwe na Tabia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.