Kwa members wote wa jukwaa hili

Kwa members wote wa jukwaa hili

CCM original

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2013
Posts
373
Reaction score
68
Nimekuwa msomaji mzuri na mtazamaji wa mijadala mbalimbali kule jukwaa la siasa, great thinkers, na hoja mchanganyiko na hata hapa MMU.

Nimetafakari sana na mara baada ya kupata majibu nikaamua kuwa mwanachama rasmi wa JF tangu juzi tarehe 28/04/2013 lakini nimeamua kuja na ID inayotambulisha itikadi yangu badala ya jina langu ila muda ukifika nitakuwa muwazi kuja na jina halisi.

Nilichelewa kuja huku kujitambulisha kwani nilikuwa kule jukwaa la siasa nikitoa utambulisho wangu kwa hoja mbalimbali.

Natumai wana JF mtanikaribisha.

With love,

CCM original
 
Karibu sana ...........
lkn uwe mwangalifu tu huku hatumind sana mambo ya itikadi tupo kijamii zaidi.
 
Karibu sana huku ni mambo ja mahusiano na hamna matusi kama jukwaa la siasa
 
CCM original.. good hapa ni ngono, michepuko na kuchunwa.. CCM tupa kuleeeee..
 
Last edited by a moderator:
Kutokana na id yako hili jukwa litakufaa, maana hili jukwaa linaongozwa na uongo, usaliti, tabia mbaya kama ilivo ccm

Naona umefata kudanganywa, na wewe ni msaliti
 
Nimekuwa msomaji mzuri na mtazamaji wa mijadala mbalimbali kule jukwaa la siasa, great thinkers, na hoja mchanganyiko na hata hapa MMU.

Nimetafakari sana na mara baada ya kupata majibu nikaamua kuwa mwanachama rasmi wa JF tangu juzi tarehe 28/04/2013 lakini nimeamua kuja na ID inayotambulisha itikadi yangu badala ya jina langu ila muda ukifika nitakuwa muwazi kuja na jina halisi.

Nilichelewa kuja huku kujitambulisha kwani nilikuwa kule jukwaa la siasa nikitoa utambulisho wangu kwa hoja mbalimbali.

Natumai wana JF mtanikaribisha.

With love,

CCM original

Mkuu hiyo id yako hiyo.ngoja waje
 
ID yako tu, inaonyesha ulivo mnafiki. Anyway, utawapata wanafiki wenzio.
 
Back
Top Bottom