jaman! kumbe upweke mbaya hivi! loh!

jaman! kumbe upweke mbaya hivi! loh!

Lady.A

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2013
Posts
393
Reaction score
194
nilikuwa nikiona watu wanalalamika, upwekd, upweke! sasa nimeona mwenyewe! loh, upweke noma.
 
ni kweli kabisa...upweke noma san....unaweza kukuta unashinda jf
 
Single siyo nzuri tafuta wa kukuondolea upweke
 
Yakikushinda sana, jaribu kufanya hivi.

Fanya mazoezi ya kuhema kwa kujaza tumbo hewa, hii inasaidia kutoa tension yeyote ile uliyonayo mwilini, kwa kuanza fanya mara 100 kila siku baada ya hapo utazoea na ugumu wa upweke au mastress yoote yatapotea.

Yakikushinda zaindi piga puli, puli yenyewe iwe ni kwaajili ya kujiridhisha (puli isiyo na shahawa) huta pata madhara ya aina yeyote ile trust me.
 
mhhh matango pori hahah! EXCEL kuja hapa,kuna binti mpweke umpgie debe!
 
Lady.A pole hiyo hali sio kabisa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom