Tulikuwa tumeshuka kwenye basi kwa ajili ya kupata msosi, nikaingia toilet, ghafla kutoka mabasi manne ya kampuni hiyo yakaingia, nikachukua chakula hotelini.
Baada ya dakika 5 hivi toka tushuke nikaona basi la kampuni hiyo likiondoka, nikashndwa kutambua kama ni langu ama laa, kumbe ni la kwangu ndugu zangu!
Nipo hapa hotelini nimepanic ile mbaya!
Baada ya dakika 5 hivi toka tushuke nikaona basi la kampuni hiyo likiondoka, nikashndwa kutambua kama ni langu ama laa, kumbe ni la kwangu ndugu zangu!
Nipo hapa hotelini nimepanic ile mbaya!