fleha
Senior Member
- Oct 9, 2014
- 111
- 103
Unafiki ni kitu kibaya sanaaaaa, bora mchawi maana tunamjua na tunaweza kumuepuka kuliko mnafiki ambaye tunaishi naye kumbe ni adui, huwrzi kujua lini wala namna gani atakudhuru... pigo linalokukuta ikiwa hukujiandaa ni hatari zaidi.
Hapana namlenga yule mwenyeji ambaye anaalika mgeni kisha anatangulia kuweka vikwazo ili ashindwe kufika, huu ni unafiki ambao ni hatari sanaaaaa, cha ajabu unafanywa na mkubwa huku wadogo na watoto wake wakishangilia, je anawafunza nini?
Hii sio familia ya kuiamini tenaaaaa.