Ingekuwa poa sana kama....,

Jeho

JF-Expert Member
Jul 2, 2011
5,053
5,503
Id zetu humu ndani tungeandika kwa mfumo wa kibrazil brazil, hebu tuone baadhi ya Id namna zingekuwa.
1. Kongosho~ Kongonho
2. Lizzy~ Lizznho
3. Invisible~ Invisinho
4. Nitonye~ Nitonho
5. Rev Masanilo~ Rev Masaninho
6. Mphamvu~ Mphanho.
7. Aspirin~ Aspirnho
Majina/Id nyingine ingekuwa vigumu sana kuitwa katika mfumo huo, mfano wake ni:-
First Lady, Mzee Mwanakijiji, FaizaFoxy, Maralia sugu, Rejao, BADILI TABIA na mengine mengi. Najaribu kuwaza tu.
 
Ingependeza sana ungeanza na jina lako.
Then ndiyo yakafata mengine na ungenogesha sana wazo lako kama usingeliyaacha majina yenye mnyumbuliko au majina mtambuka katika uliyoyatolea mf.
Majina kama vile :
- MIMTAMU
- POPOBAWA
- NITONYE
- JALUO NYEUPE
- REAL SHETANI
- WALI MWEUSI
- BWABWA
- KIFILIO
n .k n . k
 
Hah! kuna jamaa humu anajiita bwabwa?!!kha!
POPOBAWA.
 
Id zetu humu ndani tungeandika kwa mfumo wa kibrazil brazil, hebu tuone baadhi ya Id namna zingekuwa.
1. Kongosho~ Kongonho
2. Lizzy~ Lizznho
3. Invisible~ Invisinho
4. Nitonye~ Nitonho
5. Rev Masanilo~ Rev Masaninho
6. Mphamvu~ Mphanho.
7. Aspirin~ Aspirnho
Majina/Id nyingine ingekuwa vigumu sana kuitwa katika mfumo huo, mfano wake ni:-
First Lady, Mzee Mwanakijiji, FaizaFoxy, Maralia sugu, Rejao, BADILI TABIA na mengine mengi. Najaribu kuwaza tu.
Bikira wa Kiume litaandikwaje?
 
Ingependeza sana ungeanza na jina lako.
Then ndiyo yakafata mengine na ungenogesha sana wazo lako kama usingeliyaacha majina yenye mnyumbuliko au majina mtambuka katika uliyoyatolea mf.
Majina kama vile :
- MIMTAMU
- POPOBAWA
- NITONYE
- JALUO NYEUPE
- REAL SHETANI
- WALI MWEUSI
- BWABWA
- KIFILIO
n .k n . k

Wewe ungekuwa Judgenho. Si imekaa njema
 
Acha maskhara langu linakubali kabisa
ingekua

Badilinho Tabianho

hahahahahahahah kwenye kulitamka sasa!!!!
 
Back
Top Bottom