Miaka ya nyuma kidogo nilikuwa karibu sana na mtoto wa uncle wangu wa ukoo wa mbali sana, lakini nikagundua ananitaka kimapenzi, na mimi nilikuwa kipindi hicho nilikuwa sipendi kufanya na Ndugu...
I never really knew you, You were just another friend But when I got to know you I let my heart unbend
I couldn't help past memories that would only make me cry I had to forget my first love and...
Mambo wake za watu mpooooh....
Hatutaki free p, mpango MTU uanze nae chini mtafute wote atakuheshimu, yamemtokea puani mwenzenu mmoja.
Mkewe anashinda kwenye vyama vya kwao, wanakunywa bia mpaka...
Naomba kuuliza:
Huu mti unaitwaje?
Wauzaji wa miti (wa kibongo bongo) wananiambia kwa kutamka maneno kama vile Akaria, Alcaria, Arcadia .... nimejaribu ku-google Arcadia na Arcaria inatokea miti...
Bonuiiiiiiiiii......!!!!!!!
Mmhhhh kama ndio freemason wamehamia kwenye kina tigopesa, Mpesa nanyinyinezo basi kazi ipo..but in Jesus name kwangu wameshindwaaaaaaaa...!!anyway mimi nina line za...
Asante Mungu unaendelea kunipa uhai na amani katika maisha yangu licha ya changamoto za kawaida
Naomba uendelee kunipa rehema, neema, furaha, mafanikio na kunijalia maisha ya amani...
Niepushe...
MANJONJO YA MWANASHERIA RWEGOSHORA.
Baada ya kumaliza degree yake ya sheria Bwana Rwegashora aliamua kurudi nyumbani Bukoba mjini na kufungua ofisi yake kwa ajili ya kuhudumia clients (wateja)...
Wanajamii, kuna binti katokea kunipenda kupitia mawasiliano ya simu, nilipewa namba na rafiki yake, mie sio handsome itakuaje akiniona.
Upendo utakata au? anadai kapenda sana stori na vichekesho...
Wakuu kama inavyofahamika kesho ni public holiday,hivyo si vibaya leo tukijuzana ni viwanja gani leo kuna bata za maana ili tujisogeze kujipongeza.
Kwa kuanzia tu nipo pande za Liquid pub...
Huyu SITI ABBAS MTEMVU aliyeshinda jana kuwa Miss Tanzania sikutarajia kabisa, mi nilimkubali sana yule binti wa mwisho aliyejibu swali lililohusu Family planning, sijui huwa wanaangalia nini...
KWA MAISHA YA KITANZANIA NA MAADILI YAKE NI KAZI GANI USINGEPENDA MWANAO KUIFANYA ? ?
Wakuu salamu zenu ! ! !
Pana ajira zingine zina changamoto sana zaweza haribu...
Kutokana na kwamba JF imeweza kuwa mtandao mkubwa ambao imetokea kuwepo hata Masupastaa wake nadhani ni muda mwafaka kwa wajasiriamali tukaanzisha Gazeti letu ambalo litakuwa linatoa habari kuhusu...
Hii habari ni ngumu kuamini!!
Atlanta, GA- Rogers Kyaruzi, 23, of Atlanta is the second person to be diagnosed with the Ebola virus in the United States. Kyaruzi recently returned from...
Mwenzenu yamenikuta ,huyu demu nashindwa kumuelewa au pengine mimi ni mgeni na mambo haya ,yaani tupo tayari kwa tendo ,aniambia ngoja nikuonyeshe ,nilidhani anaenda kutoa kitu kwenye mkoba wake...
Kitendawili!!!!!
Ni mweupe Km Barafu, Na Ni mweuc Km Giza, Kuliwa Ni Haramu na ana manyoya mengi mwilini. Jina lake lina herufi (5) Na linaanzia Na Herufi (X). Wanaume huonana nae mara 3 kwa...
WanaJF tunaomba mtusaidie approximately 2 minutes of your time kufanya survey yetu ya maswali machache hapa kwenye link hii https://www.surveymonkey.com/s/9VQZLPM ili kutusaidia kupata views zenu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.