Mu-hali gani wanajukwaa....
Siku sio nyingi mama yangu ataadhimisha siku yake ya kuzaliwa...
Nikiangalia sioni zawadi gani nimpatie, make nilishampatia kila kitu kilicho ndani ya uwezo...
uko mbali na nyumbani unaamua kumpigia mkeo simu njemba inapokea na inajibu 'mwenye simu anaoga 'na hapo kwako unajua hakuna mwamaume ,ghafla simu inazimwa kabisa mpaka kesho yake,kama uko bungeni...
mwezi wa pili mwaka huu niliuza mechi na dada mmoja mwanafunzi wa chuo kikuu kimoja hapa mjini.baada ya hapo nilipatwa na vipele kuzunguka state house yangu,juzijuzi nikawa na homa za mara kwa...
Siku moja ilinyesha mvua kali, barabarani mafuriko balaa.
Mitaani kote kumejaa maji, kuna sehemu magari yote yameshindwa kuvuka, yamepaki kusubiri maji yapungue, jamaa mmoja alikuwa katikati ya...
Mmmmmmmh
Siwadisi mademu kwa sifa ila najiuliza hivi nao ni bidhaa**?
mbona wanajiunza na wamepata wapi hiyo ridhaa**?
ingawa siwanunui ila nimewaona maeneo kadhaa**?
ndipo lipongundua...
What Uhuru did is messing many families in Kenya.Read this
Husband : What are we having for dinner?
Wife: I have not made anything. I am the acting husband
Husband : ****In shock******
**Knock on...
Huyu binadamu ana cheo gani Jamiiforums.
Nauliza hivi kujua, maana umakini wake jamvini ni zaidi ya mtoto wa madrasat anayejifunza arif chini ya mkufunzi mkali sana.
Wengine kama miss chaga ni...
Nikiwa kwenye daladala ya kutoka Ubungo kwenda Kibaha, nilimsikia dada mmoja akimwambia mwenzake kuwa mwanamke yeyote akimrudishia pesa mume/mpenzi wake alizozikuta kwenye mifuko ya nguo zake...
Kuna jamaa alikuwa hajawahi kupanda ndege, siku akapata safari ya kupanda ndege kuelekea ng'ambo.
Kabla hajaenda aliomba ushauri toka kwa wazee, mzee mmoja mbwabwajaji sana kijijini kwao...
Kwa wale waliowahi tembelea waganga wa kienyeji, nasikia kunakuwaga na masharti magumu sana. Kuna rafiki yangu aliniambia ndugu yake amewahi ambiwa ili afanikiwe katika alichokuwa anataka fanikiwa...
Mapenzi(sex),kulala(usingizi) na haja kubwa,hizi ndio starehe ambazo haijalishi kama u tajiri au maskini uwe ulaya,amerika,asia ama afrika wote tuna enjoy the same.
hii ni kwa mujibu wa...
Mlevi mmoja aliona tangazo la kazi kwenye kampuni moja ya bia, sharti lilikuwa ni moja tuu, awe mtaalam wa kunywa pombe, akatuma maombi ya kazi. Baadaye akaitwa kwenye usahili.
Siku ya usahili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.