mshana org
JF-Expert Member
- Jan 28, 2012
- 2,091
- 620
Habari wakuu?
Sina shaka muko pooouw wote humu ndani.nimeferah sana kuona bado cc inadunda kama kawa mimi mr mkiva nilipoteapo humu kwa muda sasa tangu pale muda mfupi baada ya kupata ndoa halali na mke wangu pretty.lakini yote nikutokana na majukumu kubana sana japo nimekua nikiingia jf mara chache kwa kuotea ila kwasasa nimerudi tena kijijini cc naombeni munipokeeee tena.mwenda kwao simtumwa.
Cc prety
madame B
lara one
arusha one
mtambuzi
aspirin
mwalu
nawana cc wote nawapenda sana