Swali la kizushi mno

Swali la kizushi mno

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,454
Reaction score
872,084
Ungependa adui yako apungukiwe na kiungo gani katika mwili wake?
 
Ah, ningependa awe na maisha marefu zaidi ili anione ninavyoishi maisha yangu.....
 
Mi ningetaka akaite wenzie ili waniongezee changamoto na hasira za kufikia malengo
 
Hatupaswi kuwanenea mabaya adui zetu
 
Back
Top Bottom