Jamaa alikosea kutuma m-pesa sh 500,000/= ikaenda namba nyingine, kuona hivyo akaumiza akili akatuma meseji ifuatayo kwenye namba hiyo." UMETEULIWA KUINGIA CHAMA CHA FREEMASON NA UMETUMIWA PESA...
Binit mmoja wa miaka 19 alipelekwa katika kanisa
moja kwa ajili ya kuombewa baada ya hali yake
kuwa mbaya sana.
Baada ya kuombewa sana akanza kueleza kuwa
yeye alikuwa na dawa ambayo aliitumia ili...
tafadhali kama una jibu tusaidie tupate mkwanja:
Nchi gani ambapo wadada hawataki kupewa maua siku za Valentine na birthday zao?
Wapi ambako wazazi wote kila moja anadai alikuwaga wa kwanza...
Nilipokuwa shule ya msingi kuanzia la 4 hadi la 7 maksi zangu za hesabu kwenye mitihani zilikuwa zinacheza kwenye 03%hadi 08%.Matokeo yalikuwa yanatangazwa mbele ya darasa! yanapotangazwa mwalimu...
Kuna habar nasoma hapa kuna jamaa kajiua nakukimbia bado polisi wanamtafuta kisa alivyotoka jela dem wake alimuuliza mpenz umeniletea zawad gan?..hiyo imetokea hapo moshi
Check your presence of mind.
Take the test.
Proceed systematically.
Relax, clear your mind and begin..
1. What do you put in a toaster?
Answer:
"bread." If you said "toast," give up now and...
Unakuta mijitu mingine haina kazi katka mtandao ya kijamii , basi mijitu hiyo ni kukosowa wenzao kama inajua sana.
Wakati halijui chochote ...
Na tena tabia hy ikome leo.
(Sihitaji matusi na...
"Jamani sio msimu wa sikukuu, bali ni msimu wa maembe"
Habari zenyu binafsi mabibi na mabwana wa kipande hii... Nimewagaya now days lakini nimerudi back tena kwa kishindo!!!
Sasa ndio hivyo...
Nilikuwa kwenye gari la abiria 'daladala' jijini Dar es Salaam sasa tukiwa ndani ya dari Mama mmoja alitaka kumnyonyesha mtoto, ambapo mtoto alikataa kunyonya.
Mama akamwambia mwanae: Nyonya...
Ananiita uncle na mumewe ambaye ni rafiki yangu anamuita uncle. Wakati anaponiletea chakula, hukaa mbele yangu na kuacha miguu wazi. Niki
mkemea anasema "na wee uncle" halafu anafunika. Nifanyeje?
Habari
Haya ni baadhi ya matukio yalionipa mshangao, niliowahi kuskia ama kushuhudia, naomba tusaidiane kumleta mtu ama tukio linaloashiria mhusika kuwa na moyo mgumu ajabu.
Kwangu lile...
Hivi binadamu akifa ndio imetoka sawa tu na ng'ombe, mbwa, mbuzi, nzi, n.k.?
HASHA: Sikia jibu kutoka kwa Yesu mwana wa Yehova aliye Hai; "Msistaajabie maneno hayo; kwa maana saa inakuja...
Halooooooooooooooooooooooow mabestito wangu wa ukweeee!!!
Ndo nimetinga nilikuwa nabeep sana humu mjengon cause ya mishughuli isiyokwisha
ndo nimeingia tena kutoa SOMO maridhawa hususani kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.