Nyonyo lampoteza Mwanaume

Mapengo 17

R I P
Mar 28, 2014
1,232
609
Nilikuwa kwenye gari la abiria 'daladala' jijini Dar es Salaam sasa tukiwa ndani ya dari Mama mmoja alitaka kumnyonyesha mtoto, ambapo mtoto alikataa kunyonya.

Mama akamwambia mwanae: Nyonya, kama hutaki nampa "Anko" anyonye.

Anko ni kaka mmoja 'abiria' aliyeketi na huyo mama karibu, mtoto akanyonya kidogo kisha akaacha.

Mama akamtishia tena nimpa Anko.

Ndipo yule kaka kwa hamaki akasema: "Mama uwe na msimamo unajua nimepitiliza vituo vinne kwa ajili yako", hebu kuwa mkweli...!unanipa ninyonye au nishuke.............hahahaahah nimeipenda.
 
He he he he he huyo jamaa ---- sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom