Ndo nimetinga bestito mwenzenu

Ndo nimetinga bestito mwenzenu

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
14,758
Reaction score
9,592
Halooooooooooooooooooooooow mabestito wangu wa ukweeee!!!

Ndo nimetinga nilikuwa nabeep sana humu mjengon cause ya mishughuli isiyokwisha
ndo nimeingia tena kutoa SOMO maridhawa hususani kwa walewale walengwa wenyewe
wanajifahamu kuwa mama mfundaji nikiingia natoa dozi kwa akina nani istaki kuwataja
bali nikileta somo hapa ndo nitawataja wenyewe wananikubali na kunipa heshima yangu
kwani nawaweka stable na kuwafanya wakubaliane na majukumu ambayo kwa uzembe
au kutokujua wanashindwa kuyatekeeleza hivyo mm nakuwa nimewakumbusha au
anakosea mabestito wangu wa ukweeeee jamani!!!!


Kitu kingine kilichonifanya nikae kando kucheki hapa mjengoni kunaendeje kulikuwa
na pilika pilika nyingi za hawa wetu ambayo wameshafungua mahostel yao wako
huko wanapigania maisha maana walijazana kama tai wa karafuu ndo mana ikabidi
tujileftishe kiaina na kusaka mpunga wa nguvu ili tukija tuwakute wameshatawanyika
si mnajuaaaaaaaaaaaaaa tena bandugu zangu

Niliwamisoooo sana tena sana na kila mara nikawa nawakumbuka kwa kuwafikiklia lini
nitakutana nanyi mabestitooooooo zangu ndo NIMETINGA MZIMA MZIMA BILA AJIZI
PUNDE TU NITATOA MAWE NA MATONGOTONGO KUWANAWAISHA ILI MUWE SAFI

NAWAPENDA NYOTE MABESTITO WANGU WA UKWELII

Ndimi

Ladyf
 
Back
Top Bottom