jrmlaurence
Member
- Dec 2, 2010
- 80
- 57
tafadhali kama una jibu tusaidie tupate mkwanja:
Nchi gani ambapo wadada hawataki kupewa maua siku za Valentine na birthday zao?
Wapi ambako wazazi wote kila moja anadai alikuwaga wa kwanza darasani? Wapi ambako unaweza kuwa na leseni ya udereva wakati hujawahi kushika usukani hata siku moja?
Wapi ambapo viongozi wa serikali hawajui kuimba wimbo wa Taifa?
Wapi ambapo wananchi wanaweza kukuua kwa kuiba kuku na wakakuabudu kwa kuiba mabilioni?
Wapi ambapo watu hugombania kuingia darasani, mpirani na hata kwenye mabasi?
Wapi ambapo kila unaekutana nae amewahi kuibiwa simu?
Wapi ambapo unaruhusiwa kulalamika kuwa ndugu zako wamekuroga kwa kila tatizo?
Wapi ambapo matajiri wote wana vitambi?
Wapi ambapo iPhone 5 zinauzwa kwenye foleni za magari kwa shilingi laki moja?
Wapi ambapo kupata dhamani polisi lazima ulipie?
Wapi ambapo basi la watu 25 linaweza kubeba watu 60.
Wapi ambapo ukimsindikiza mtu eapot, anaweza akafika South Afrika wakati wewe bado uko kwenye foleni hujafika kwenu?