masanjamkandamizaji
Senior Member
- Oct 30, 2014
- 171
- 72
Unakuta mijitu mingine haina kazi katka mtandao ya kijamii , basi mijitu hiyo ni kukosowa wenzao kama inajua sana.
Wakati halijui chochote ...
Na tena tabia hy ikome leo.
(Sihitaji matusi na wapangaji wenzangu.)
Wakati halijui chochote ...
Na tena tabia hy ikome leo.
(Sihitaji matusi na wapangaji wenzangu.)