Msaada

Msaada

Hewa mkaa

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2012
Posts
748
Reaction score
386
Ananiita uncle na mumewe ambaye ni rafiki yangu anamuita uncle. Wakati anaponiletea chakula, hukaa mbele yangu na kuacha miguu wazi. Niki
mkemea anasema "na wee uncle" halafu anafunika. Nifanyeje?
 
mkemeea ataacha ukiona haachi kaa na spoku ya kuchomea mishikaki akikaa vibaya unamchona nayo
 
Ananiita uncle na mumewe ambaye ni rafiki yangu anamuita uncle. Wakati anaponiletea chakula, hukaa mbele yangu na kuacha miguu wazi. Niki
mkemea anasema "na wee uncle" halafu anafunika. Nifanyeje?
anakuita uncle? na mumewe anamuita ancle? mumewe ni rafiki yako? anakuletaa chakula wapi au unakaa kwake?
 
kama kusoma hujui hata picha huoni??? mke wa mtu ni sumu
 
Huyo kashazima kwako!lakn ww mueshimu rafiki yako jitaidi kupunguza mazoea yakuanae karib uyo demu.
 
Ananiita uncle na mumewe ambaye ni rafiki yangu anamuita uncle. Wakati anaponiletea chakula, hukaa mbele yangu na kuacha miguu wazi. Niki
mkemea anasema "na wee uncle" halafu anafunika. Nifanyeje?
Kwahiyo unajifanya huelewi au umekuja kujisifia humu?!
 
Back
Top Bottom