Nzowa Godat
JF-Expert Member
- Jun 15, 2011
- 2,785
- 824
Hivi binadamu akifa ndio imetoka sawa tu na ng'ombe, mbwa, mbuzi, nzi, n.k.?
HASHA: Sikia jibu kutoka kwa Yesu mwana wa Yehova aliye Hai; "Msistaajabie maneno hayo; kwa maana saa inakuja, ambayo watu wote waliomo makaburini wataisikia sauti yake. Nao watatoka; wale waliofanya mema kwa ufufuo wa uzima, na wale waliofanya mabaya kwa ufufuo wa hukumu." (Yohana 5:28-29). Kwa hiyo kufa sio mwisho wa kesi safisha njia, chukua tahadhari. Au mnasemaje wadau,