Napendwa na marafiki wa wapenzi wangu

Chungu cha bibi

JF-Expert Member
Jul 26, 2014
525
225
Habari zenu wana MMU,wikiendi ndo iyoo inaishia taratibu...

Ni hivi hii kitu imenitokea kama mara tano hivi,kila ninapokua na mpenzi baada ya muda mfupi,rafiki wa mpenzi wangu lazima atanitaka tu.
Ilianza kipindi nipo advance,kuna rafiki wa mpenzi wangu alikua ananitaka na kunilazimishaa kutoka nae kimapenzi..mitego mingi na vijizawadi vya hapa na pale.nikajiongeza kiume nikachapa mtu na best yake..
Ikatokea tena nilivyokua chuo,tena huyu mwanzo alikataa nilivyomtokea lakini baada ya muda kidogo nikawa natoka na rafiki yake,haikupita muda nae akaanza kunitaka kimapenzi huku akiniomba msamaa kwa kunipiga kibuti hapo awali..kwa kuwa nilikua nampenda nikala aisee...
Nyingine kama tatu zimenitokea katika maisha yangu ya kila siku tu huku mtaani kwangu..

Swala ni kwamba mimi nimebarikiwa sana au ni vipi inakuaje inanitokea mimi tu..wasi wasi wangu ni kwamba siku naamua kuoa,mashosti wa mke wangu wakianza hayo mambo sijui itakuaje..ili swala naliwaza sana.
 

uungwana vitendo

JF-Expert Member
Nov 20, 2013
1,313
2,000
kama hiyo stori ni kweli ,
kutakuwa na kitu cha ziada mungu amekupa na kikawaida wanawake huadithiana,mfano kuonga sanaa ,kuonyeshaa uwezo kitandani nk.hivyo tafuta demu au mke msiri
 

Nzunga

Senior Member
Oct 24, 2011
164
225
Unataka ushauri wakati unafurahia hako kamchezo...ila hongera sana mkuu, wengine hata huyo demu mmoja tunampata kwa mbinde sana.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom