Hela ya escrow!!!

Salamander

JF-Expert Member
Dec 7, 2012
28,538
15,739
HELA YA ESCROW!!! Kiasi :321,000,0000,000 /= Bei ya Bia : 2500/= 321,000,000,000 /2500 Idadi ya biani = 128,400,000, Idadi ya watanzaniani 44,000,0000 Then 128,400,000/44,000,000 makadirio ni bia 3 kwa kila mtanzania, Mtanzania mwenzangu ukikutana na yeyote aliyechota pesa zetu za Escrow, mwambie akununulie bia zako tatu mmalizane, Kama we si mpigaji wa maji, Mwambie akupe 7500/= zako ukajipoze na chips kuku na coca baridii
 
Back
Top Bottom