Msaada: Nisomee Nini Ili Niwe Mpishi Wa Hela/Fedha/Money?

Majigo

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
5,519
1,825
Nataka Mimi Ndie Niwe Msimamizi Mkuu Ktk Chungu Cha Kupikia Hela
Hela Hizi Hizi Tunazotumia Kununua Mahitaji Ya Kila Siku...Namaanisha Kama Zile zinazoleta Vurumai Bungeni

Hii Kazi Naisikia Lakin Sijui Namna Ya Kuipata
Nikafikiria Nikaona Nije Kwenu Kwa Msaada Zaidi
Kwani Inanivuruga Akili Kwakweli!
Ahsanteni
Jigo
 
Nenda kimboka bynight ukasome.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom